Naomba kujuzwa kiswahili sanifu cha ICU

Naomba kujuzwa kiswahili sanifu cha ICU

ICU ipi unayo maanisha mkuu,.kumbuka hicho ni kifupi lakini hujasema ni kifupi cha neno lipi hasa,.

Nawasilisha.
 
ICU - Intensive Care Unit = Chumba Cha Wagonjwa Mahututi
 
Back
Top Bottom