Antelius
Member
- Nov 14, 2024
- 6
- 2
Wakuu za leo naomba kuuliza kwa idara ya Afya kama umemaliza ngazi ya cheti unaweza kuomba academic transcript baada ya matokeo kutoka au inatakiwa ukae mda gani ndo uapply iyo academic transcript na je kama umesajiliwa na chuo kuendelea ngazi ya diploma unaweza kuomba academic transcript ya mwaka uliomaliza ?