Habari wadau, naamini mko poa.
Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu cloud computing na nikafikia hatua ya kutaka kujua kiundani, katika kufuatilia kwangu nikagundua kuwa naweza kujifunza online na kupata cheti.
Ningeomba kujua kama kuna mtu ambaye alishafanya mitihani ya amazoni anipe tu mwangaza kuwa inakuwaje na kuhusu practical zake zinakuwaje kwa wanaosoma online? Ningependa kujifunza kwa kufanya ili nielewe vizuri zaidi.
Asanteni naamin nitapata ushirikiano wenu