Naomba kujuzwa kuhusu Bagamoyo marathon 2018

Naomba kujuzwa kuhusu Bagamoyo marathon 2018

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
9,623
Reaction score
13,759
wakuu habari za wikiendi, hongeren na polen kwa harakati za maisha hapa na pale.
yeyote anayejua utaratibu wa kujisajiri, zawadi kwa washindi na lolote kuhusu kuhusu bagamoyo marathon.
naomba kuwasilisha.
 
REGISTRATION IPO YA ONLINE 5th Bagamoyo Historical Marathon

You can register physically at Joe Burger -Big Bon Sinza on 25th to 27th July' 2018

AU piga namba hii 0710504929
 
Back
Top Bottom