The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 Mar 20, 2022 #61 Hivi bidhaa kama matunda kwa anayetaka kusafirisha njee process ikoje ikoje. Kuna mwenye idea humu
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Mar 20, 2022 #62 Mimi nasubiria mmea uhalalishwe, nianze kusafirisha
The bump JF-Expert Member Joined Nov 22, 2019 Posts 1,488 Reaction score 2,908 Mar 20, 2022 #63 Mtoa mada ni jinsia "ke" mwenye hasira za hapa na pale
Djob Nkondo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 265 Reaction score 203 Nov 3, 2024 #64 Kwenye usafirishaji wa bidhaa tok tz kwenye njia inategemea na aina ya bidhaa na bei ama wateja ulowalenga wana nunuaje
Kwenye usafirishaji wa bidhaa tok tz kwenye njia inategemea na aina ya bidhaa na bei ama wateja ulowalenga wana nunuaje
Hardbody JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 4,139 Reaction score 4,640 Nov 3, 2024 #65 Kuna platform moja I think by the name AGOA Google hyo kwa export za Us ndio inasaidia kwa haraka
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,181 Reaction score 1,594 Nov 6, 2024 #66 Tafuta ngozi nyeupe katika nchi za ulaya mfanye kazi kwa pamoja