Umesoma alichoandika mleta mjadala??Mtaji inategemeana nawewe unataka uingize shingapi kwa siku na hataki tamaaa ni mbaya Sana ukiwa na tamaa
Hajasema kama anataka kua wakala naona vibayaUmesoma alichoandika mleta mjadala??
Anataka kufungua kampuni ya michezo ya kubahatisha mfano Jamii Betting Lungu (JBL)Hajasema kama anataka kua wakala naona vibaya
mkuu utapiga pesa sana kwa vijana wavivu wasiopenda kufanya kazi.Amani ya Mungu iwe juu yenu
Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting.
Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni;
1. Mtaji kiasi gani tunatakiwa
2. Nawezaje kupata mfumo wa betting
3. Leseni yake inapatikanaje
4. Uendeshaji wake ukoje? Yaani ikitokea mtu kapata pesa kubwa kushinda mtaji wako inakuwaje?
5. Changamoto zake ni zipi?
Natanguliza shukurani kwa watakao nipa abc za hii biashara.
Kaka inamana wote wanaofanya betting ni wavivu? Kuna majamaa kadhaa nawafahamu wanadunda mjini kwa kutegemea hela za muhindi mzeemkuu utapiga pesa sana kwa vijana wavivu wasiopenda kufanya kazi.
Hii kazi ina pesa ngoja waje kukupa muongozo
ana ana anaa doo...Lo wewe huwa unabeti????ππ€
hizi stori zipo sana. Wewe fanya kazi lakini usiaminishe vijana betting ni ajira betting ni umaskini betting ina athari kubwa katika utafutaji, betting ina athari katika ubongo, betting ina athari hata katika maisha binafsi ya kujisimamia kijana mwenyewe.Kaka inamana wote wanaofanya betting ni wavivu? Kuna majamaa kadhaa nawafahamu wanadunda mjini kwa kutegemea hela za muhindi mzee