Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya Betting

Betting sio biasharaa ni njia ya kupoteza ulichokitafuta kwa jashooo..!!!
Ni njia ya kupoteza ulichotafuta kwa wanaocheza lakini kwa mwenye ofisi ya betting ni biashara
 
 
Kampuni yoyote ambayo haina complications nyingi mkuu. Naomba madini yako uliyonayo
kampuni nzuri isiyo na complication ni premier bet
Easy kuanza na ni low capital ukilinganisha na zingine.

Ulipwaji ni kwa commision.....
 
kampuni nzuri isiyo na complication ni premier bet
Easy kuanza na ni low capital ukilinganisha na zingine.

Ulipwaji ni kwa commision.....
Capital yake inatakiwa kuanzia sh. Ngapi mkuu
 
Watanzania ama ni wavivu wa kusoma ama wanachokisoma huwa hawakielewi. Ukipitia comment nyingi utagundua kitu nachokisema.
Mleta thread anataka kufungua kampuni yake ya betting kama ilivyo sportpesa, wasafi bet nk lkn watu wanamtoa kwenye reli kwa kumuona yy anataka kubet (mkamalia) na wengine wanadhani anataka kuwa wakala. Jamani mwelekezeni kwa mnaojua kufungua kampuni kama alivyofanya Diamond (wasafi bet) inacost bei gani na utaratibu wake upoje? Ndicho anachotaka
 
Kungungua kwa mfumo wa partiner unatakiwa uwe na angalau mtaji wa milioni 15 vifaa utapewa bure faida na hasara Ni 50/50 MTU akiliwa laki wewe unakula 50 kampuni inakula 50

MTU akila laki wewe unakuwa 50. Kampuni inaliwa 50
 
Hatuaomi 🤣
 
🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…