jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
Mahitaji yake sijui ..lakini from business point of view unaweza kutumia comparative advantage kwa ku forego kupika na badala yake ukaufuata Zanzibar...naonaga watu wanachukua ubuyu Zanzibar huko kwa TZS 1000 wanakuja kuuza huku ranging from TZS 2000 - 3500 per packet ..just an aopinion thoughTafadhali wakuu wenye uzoefu wa biashara ya kupika na kuuza ubuyu naomba mchanganuo hapa kwa niaba ya wanajf wote.
Mchanganuo uwe kuanzia upatikanaji, mahitaji, viungo, soko, upakiaji nk. Nahitaji kutengeneza ubuyu wangu mwenyewe niuze uwe mtamu kama wa Babu Issa yule wa Zenji tunayemsikia
Tafadhali sana wakuu. Natanguliza shukrani
go to facebook kuna group inaitwa mapishi fastafasta hutakaa ujute utajua kupika hizo ubuyu kuliko babu isaTafadhali wakuu wenye uzoefu wa biashara ya kupika na kuuza ubuyu naomba mchanganuo hapa kwa niaba ya wanajf wote.
Mchanganuo uwe kuanzia upatikanaji, mahitaji, viungo, soko, upakiaji nk. Nahitaji kutengeneza ubuyu wangu mwenyewe niuze uwe mtamu kama wa Babu Issa yule wa Zenji tunayemsikia
Tafadhali sana wakuu. Natanguliza shukrani
asante sanago to facebook kuna group inaitwa mapishi fastafasta hutakaa ujute utajua kupika hizo ubuyu kuliko babu isa
poaasante sana