Naomba kuuliza kama naweza pata wazoefu au wafanyabiashara ya Marashi hasa Oud aina zote, Misk na mamb mengine kama hayo vipi kuhusu mtaji na soko lake likoje!?
Hio biashara ni nzuri ila unaitaji kujiboost. Mi Nina dawa za mvuto nauza kichupa laki moja. Na kila mwezi unaitaji vichupa 3. Utapiga biashara mpaka uitwe freemason. Karibu tukuhudumie.