Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya pazia kwa Dar

Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya pazia kwa Dar

virginity

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
898
Reaction score
970
Hello!

Nipo Mwanza nahitaji kuuza pazia japo sio mara yangu ya kwanza nimekua nikiziuza, kwahapa Mwanza nachukulia 20000 pazia Mbili.

Natamani kujua kwa Dar Bei inawezakua sh ngapi? Maana wengi wanachukulia Dar lakini ukiwauliza sio wawazi naombeni msaada nina mtaji wa laki6 nahitaji nianzie hii
 
Biashara ya pazia huko mwanza ni nzuri? Huku dar machimbo mengi je mwanza unauzia wapi
 
➡️Kwamba unataka kujua bei za jumla kwa Dar?
➡️Kwamba mapazia unayo ulizia ni yale ya 2 nzito na moja nyepesi?...

Weka maswali yako wazi ili wabobezi
wakipita wakujibu.
 
[emoji3591]Kwamba unataka kujua bei za jumla kwa Dar?
[emoji3591]Kwamba mapazia unayo ulizia ni yale ya 2 nzito na moja nyepesi?...

Weka maswali yako wazi ili wabobezi
wakipita wakujibu.
Pazia ninazotaka ni zile moja moja ambazo hazina kepesi katikati. Tunaziita za mchina
 
Biashara ya pazia huko mwanza ni nzuri? Huku dar machimbo mengi je mwanza unauzia wapi

Nazunguka minadani lkn pia mitaani. Kulingana na bei. kama nikizipata kwa bei nzuri zaidi basi namm ntauza bei nzuri zaidi. Nimewahi kuziuza na bado naendelea sema nahitaji za jumla
 
Ingia instagram ya kelvinkibenje ameelezea machimbo yote
 
Back
Top Bottom