Pazia ninazotaka ni zile moja moja ambazo hazina kepesi katikati. Tunaziita za mchina[emoji3591]Kwamba unataka kujua bei za jumla kwa Dar?
[emoji3591]Kwamba mapazia unayo ulizia ni yale ya 2 nzito na moja nyepesi?...
Weka maswali yako wazi ili wabobezi
wakipita wakujibu.
Biashara ya pazia huko mwanza ni nzuri? Huku dar machimbo mengi je mwanza unauzia wapi