hiki ni moja kati ya vyuo vingi ambavyo havitambuliki,ukimaliza diploma yako utashindwa kujiunga na vyuo vikuu vingine Tanzania na kwingineko usidhubutu kupeleka fedha zako maana utazipoteza pamoja na muda wako,nakushauri utujulisha hapa JF kozi unazotaka ili tukujuze vyuo mbadala,kwenye utaratibu wa NACTE kuna chuo kuwa registered na kuwa accredited,hatua ya mwanzo baada ya chuo kuanzishwa ni registration halafu accreditation,muhimu si kusajiliwa bali ni kuwa accredited maana hii ndio ruhusa kamili ya kufundisha kozi fulani,hivyo sikushauri kwenda huko kwani hakina accreditation wala registration bali ni utapeli mtupu.Chuo kiitwacho MODERN COMMERCIAL INSTITUTE kipo mtaa wa nkruma clock tower kinajitangaza kwamba kimesajiliwa na NACTE kutoa mafunzo kwa ngazi ya Diploma kwenye tovuti yao nikiperuzi kwenye mtandao NACTE sioni kwenye list,kuna kijana wangu anasoma pale amelipa ada yao 1400000 Tshs kwa mwaka.naomba kwa anaye elewa kuhusu chuo hiki atujuze kwa faida ya wote.
Chuo kiitwacho MODERN COMMERCIAL INSTITUTE kipo mtaa wa nkruma clock tower kinajitangaza kwamba kimesajiliwa na NACTE kutoa mafunzo kwa ngazi ya Diploma kwenye tovuti yao nikiperuzi kwenye mtandao NACTE sioni kwenye list,kuna kijana wangu anasoma pale amelipa ada yao 1400000 Tshs kwa mwaka.naomba kwa anaye elewa kuhusu chuo hiki atujuze kwa faida ya wote.