Wakuu,
Naomba kwa wale walio kwisha kutembelea katika visiwa hivi Mafia na Songasi, wanisaidie kujua yafuatayo:-
Ni biashara gani naweza kutoa uko kuleta apa Dar au ni biashara gani naweza kutoa Dar kupeleka uko.Najipanga kwenda kutembelea kwanza ila nimeona niulize nipate mwanga kabla sijaenda.
Natanguliza shukrani.