Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
Asante sanaKama ukihitaji spear zake Kwa urahisi muone huyu +255 659 122 135
Q5 nzuri chukua bila kujiuliza uliza, spare za audi nafuu na zinapatikana kirahisi..Hello wana jukwaa,
Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki....
Santa sanaAudi, BMW na Nissan hizi gari uwe unazidekeza service kitu muhimu sana kwao. Ukisikia sauti tu peleka faster kwa fundi haitaki kusubiri ukisubiri sana inakula kwako. Pia hakikisha fundi awe fundi kweli sio wale vunja vunja🤣🤣
Asante sanaQ5 nzuri chukua bila kujiuliza uliza, spare za audi nafuu na zinapatikana kirahisi..
Mtaalamu wa ufundi ikisumbua mcheki JituMirabaMinne
Spare ukitaka mcheki RRONDO
1. Spare parts zipo ila bei siyo rahisi kama Toyota. Bei imechangamka japo ni cheap ukilinganisha na wajerumani wengine kama BMW, Mercedes, Porsche, n.k.Hello wana jukwaa,
Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki...
Asante sana, maana hii gari imenivutia lakini nikafikiri kabla ya kufanya maamuzi nipate uzoefu kwa WAJUVI WA MAMBO HAYA YA KIJERUMANI...1. Spare parts zipo ila bei siyo rahisi kama Toyota. Bei imechangamka japo ni cheap ukilinganisha na wajerumani wengine kama BMW, Mercedes, Porsche, n.k...
Maria nyedetse una nyedewa 🤣🤣🤣🤣🤣Hello wana jukwaa,
Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki...
PoaKama ukihitaji spear zake Kwa urahisi muone huyu +255 659 122 135
Ukitamka AUDI unatamka MAUMIVU MATUPU (kuanzia SPEA, SERTVICE hadi MAFUTA)Hello wana jukwaa,
Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki.
Moja kwa moja kwenye mada, naomba wenye uzoezi na hii gari wanisaidie AUDI Q5
1.Spare parts upatikaji wake.
2. Uwezo wa kuhimili mazingira magumu [roughl roads]
3. Mifumo ya uendeshaji wa gari, he ni rafiki au iko too complicated
4. Oil consumption [someone ni 19.. cc]
Performance ya engine ya gari
5. Maneuverability, top speed, stability, comforability n.k
Naomba kuwasilisha