Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya Junior Mitsubish Pajero

Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya Junior Mitsubish Pajero

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
1689722886018.png

Junior Mitsubish Pajero
Wanajamvi kwa mwenye uzoefu na ufahamu wa hii gari,naomba msaada kihusu
1. Upatikaji wa spea

2. Uimara

3. Ulaji wa mafuta

4. Uvumilivu wa safari ndefu,labda dsm-mwanza(gari ni cc1000),karibuni kwa maoni.
 
Hamna gari humo, ukizingatia hili utakuja kunishukuru baadae. Mitsubishi wanajua kutengeneza mitambo tu na gari za shuruba kama fuso au malori!

Kwenye commuters kama daily driven personal cars kama mini pajero ni ushubwada tu.
 
Wanajamvi kwa mwenye uzoefu na ufahamu wa hii gari,naomba msaada kihusu
1.upatikaji wa spea
2.uimara
3.ulaji wa mafuta
4.uvumilivu wa safari ndefu,labda dsm-mwanza(gari ni cc1000),karibuni kwa maoni.
View attachment 2168703
Kwa safari za ndani na mikoa ya karibu inafaa.
Ni gari nzuri na imara, ulaji wa mafuta ni mdogo mno, na inafaa kwa hali ya barabara zote.

Chukua ndugu
 
Wanajamvi kwa mwenye uzoefu na ufahamu wa hii gari,naomba msaada kihusu
1.upatikaji wa spea
2.uimara
3.ulaji wa mafuta
4.uvumilivu wa safari ndefu,labda dsm-mwanza(gari ni cc1000),karibuni kwa maoni.
Spare zipo ila bei juu kidogo
Uimara ni imara
Safari ndefu zisiwe mara kwa mara engine yake sio ya kuhimili safari za mbali
 
View attachment 2692550
Junior Mitsubish Pajero
Wanajamvi kwa mwenye uzoefu na ufahamu wa hii gari,naomba msaada kihusu
1. Upatikaji wa spea

2. Uimara

3. Ulaji wa mafuta

4. Uvumilivu wa safari ndefu,labda dsm-mwanza(gari ni cc1000),karibuni kwa maoni.
Mkuu japo niko nje mada ,nimeona nikueleze. Hii gari siti zake za nyuma ni kero. Mtu mzima akikaa lazima miguu ibanwe na kiti cha mbele.

Nafasi ya mzigo haitoshi hata begi 1 la nguo.
images (10) (21).jpeg
images (10) (19).jpeg
 
View attachment 2692550
Junior Mitsubish Pajero
Wanajamvi kwa mwenye uzoefu na ufahamu wa hii gari,naomba msaada kihusu
1. Upatikaji wa spea

2. Uimara

3. Ulaji wa mafuta

4. Uvumilivu wa safari ndefu,labda dsm-mwanza(gari ni cc1000),karibuni kwa maoni.

Kwanini usinunue baby walker 5doors
IST,Raum,Spacio au vitz
 
Back
Top Bottom