Habarini wadau,
Poleni na purukushani za tozo na mengineyo, Naombeni mnijuze ubora na udhaifu wa gari tajwa hapo juu nipo katika harakati za kutafuta gari la juu yani (suv) na kwa budget niliyo nayo naona kama hili litanifaa.
Matumizi yake yatakua ya kila siku yani itakua inatoka bunju tu kariakoo na ocassionaly itaenda mikoani Mwanza na Musoma kuona familia. Naomba kujua upatikanaji wake wa vipuri na uimara wake katika njia za rough road na milimani maana nimeona lina 4wd