Na vp kuhusu uimara wake ukilinganisha na rav 4 (96-99)Ni Gari nzuri kwa wastani wake Toyota siku zote hazina tabu kwenye Vipuri
Huvi jina halisi la hizi gari ni lipi? Maana kill time naona kama sio lakeHabarini wadau,poleni na purukushani za tozo na mengineyo,Naombeni mnijuze ubora na udhaifu wa gari tajwa hapo juu nipo katika harakati za kutafuta gari la juu yani (suv) na kwa budget niliyo nayo naona kama hili litanifaa.matumizi yake yatakua ya kila siku yani itakua inatoka bunju tu kariakoo na ocassionaly itaenda mikoani Mwanza na Musoma kuona familia.Naomba kujua upatikanaji wake wa vipuri na uimara wake katika njia za rough road na milimani maana nimeona lina 4wd
View attachment 1926890
Huvi jina halisi la hizi gari ni lipi? Maana kill time naona kama sio lake
Kuhusu ubora ni gari nzuri ila chukua yenye engine ya VVTI hasa ukipa 1790cc hata katika mafuta haita kusumbua sana
Huvi jina halisi la hizi gari ni lipi? Maana kill time naona kama sio lake
Kuhusu ubora ni gari nzuri ila chukua yenye engine ya VVTI hasa ukipa 1790cc hata katika mafuta haita kusumbua sana
Na mwendo wake katika barabara za vumbi na milima uko vp chief, inastahimili ?Ila ni nyepesi sana ukikimbia kama barabara haijatulia inaweza kukutoa njee (kama pale chalinze kipindi cha nyuma zile big G)
Rav 4 second generation(kill time)Habarini wadau,
Poleni na purukushani za tozo na mengineyo, Naombeni mnijuze ubora na udhaifu wa gari tajwa hapo juu nipo katika harakati za kutafuta gari la juu yani (suv) na kwa budget niliyo nayo naona kama hili litanifaa.
Matumizi yake yatakua ya kila siku yani itakua inatoka bunju tu kariakoo na ocassionaly itaenda mikoani Mwanza na Musoma kuona familia. Naomba kujua upatikanaji wake wa vipuri na uimara wake katika njia za rough road na milimani maana nimeona lina 4wd
View attachment 1926890
Mafuta? Hivi Kuna Gari isoyotumia mafuta? Kwa foleni za Dar mafuta yatatumika tuHuvi jina halisi la hizi gari ni lipi? Maana kill time naona kama sio lake
Kuhusu ubora ni gari nzuri ila chukua yenye engine ya VVTI hasa ukipa 1790cc hata katika mafuta haita kusumbua sana
Nimecheka sanaaa 4the generation haigusiki kirahisi rahisiJina halisi ni Toyota Rav 4 Second Generation.
First Generation ndo watu wanaziita Old
Third Generation ndio miss Tanzania.
4th generation bado hawajaibatiza maana hainunuliki bado.
Nimecheka sanaaa 4the generation haigusiki kirahisi rahisi