Used TOYOTA COROLLA RUNX, 2003, S/N 214116 from TRUST JapaneseVehicles.com: exporter of quality, affordable used cars from Japan.
www.japanesevehicles.com
Sent from my SM-A515F using
JamiiForums mobile app
Yenyewe man.
Tofauti pekee: AC unit ilikua ile ya buttons sio iyo ya kunyonga ivo vi dials, na Radio iliwekwa mchina ina ka screen ingawa sio issue.
Vingine hadi injini NZ-FE naona mulemule.
Challenges kubwa nilizowahi kutana nazo:
1. Ilizingua upande wa abiria mbele kupandisha kioo, yaan ukiwa kwa dereva hauwezi pandisha kioo lazima upandishie upande ule ule wa abiria.
2. Fuel pump ilikufa (bei laki 1) napo ni kwasababu nilikua natembelea taa imewaka ya wese sanaaa. So uzembe wangu.
3. Nishawahi zidisha kilometa za service. Kidogo ikapungua performance. Nikaja badirisha oil, plug, ATF, aisee ilirudi ikawa kama mpya.
4. Suspensions zilizingua nikanunua mpya. Mchina. Ila tatizo kupata OG ila ukipata nadhani fresh.
5. Ilikua chini kinoma. Na sikutaka ipandisha juu. Aisee gari ya chini ina mzuka wake.
6. Nilitendea dhambi nyingi sna humo. Kwahiyo viajali vya hapa na pale vikawa sana tu. Ingawa sijawahi pata a serious ajali ipo stable sana road.
Nimepiga sana Uber na Taxify enzi zile.
Safari ndefu ni Mwanza mara 2, Iringa mara 3, Ifakara mara 2, Lindi na Mtwara mara 1, Morogoro town iyo kila mwezi.
Sijajutia.