Eng.Rwebangira
Member
- Feb 10, 2015
- 20
- 7
Ukangalee kanunu ugweKasoro yake ni mbio, inakimbua sana. Nikitaka niende Morogoro, nikajikuta niko msjtu wa CONGO
Una specific year?Habari ndugu,
Naomba mwenye ufahamu mzuri juu ya gari aina ya Corolla Runx,.sifa zake na kasoro hama changamoto zake.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Una specific year?
Kuna Runx X, Runx S na RSi. Ila common ni Runx X. Mi nimekaa nayo 4 years Runx X 2NZ-FE 1.5L VVTi, YoM 2002.
Man, hii kitu ni Tank.
Yenyewe man.TOYOTA COROLLA RUNX, 2003, S/N 214116 from JapaneseVehicles.com
Used TOYOTA COROLLA RUNX, 2003, S/N 214116 from TRUST JapaneseVehicles.com: exporter of quality, affordable used cars from Japan.www.japanesevehicles.com
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu,.shukrani bro[emoji120]Yenyewe man.
Tofauti pekee: AC unit ilikua ile ya buttons sio iyo ya kunyonga ivo vi dials, na Radio iliwekwa mchina ina ka screen ingawa sio issue.
Vingine hadi injini NZ-FE naona mulemule.
Challenges kubwa nilizowahi kutana nazo:
1. Ilizingua upande wa abiria mbele kupandisha kioo, yaan ukiwa kwa dereva hauwezi pandisha kioo lazima upandishie upande ule ule wa abiria.
2. Fuel pump ilikufa (bei laki 1) napo ni kwasababu nilikua natembelea taa imewaka ya wese sanaaa. So uzembe wangu.
3. Nishawahi zidisha kilometa za service. Kidogo ikapungua performance. Nikaja badirisha oil, plug, ATF, aisee ilirudi ikawa kama mpya.
4. Suspensions zilizingua nikanunua mpya. Mchina. Ila tatizo kupata OG ila ukipata nadhani fresh.
5. Ilikua chini kinoma. Na sikutaka ipandisha juu. Aisee gari ya chini ina mzuka wake.
6. Nilitendea dhambi nyingi sna humo. Kwahiyo viajali vya hapa na pale vikawa sana tu. Ingawa sijawahi pata a serious ajali ipo stable sana road.
Nimepiga sana Uber na Taxify enzi zile.
Safari ndefu ni Mwanza mara 2, Iringa mara 3, Ifakara mara 2, Lindi na Mtwara mara 1, Morogoro town iyo kila mwezi.
Sijajutia.
Ni gari nzuri sana kwa mishe za town ata safari ndefu Dar -Dom nimesogea nayo sana .Ishu ya kioo ata mimi imeshawai nikuta nayo sana ila kuna muda inafanya kazi ata kwa upande wa derevaYenyewe man.
Tofauti pekee: AC unit ilikua ile ya buttons sio iyo ya kunyonga ivo vi dials, na Radio iliwekwa mchina ina ka screen ingawa sio issue.
Vingine hadi injini NZ-FE naona mulemule.
Challenges kubwa nilizowahi kutana nazo:
1. Ilizingua upande wa abiria mbele kupandisha kioo, yaan ukiwa kwa dereva hauwezi pandisha kioo lazima upandishie upande ule ule wa abiria.
2. Fuel pump ilikufa (bei laki 1) napo ni kwasababu nilikua natembelea taa imewaka ya wese sanaaa. So uzembe wangu.
3. Nishawahi zidisha kilometa za service. Kidogo ikapungua performance. Nikaja badirisha oil, plug, ATF, aisee ilirudi ikawa kama mpya.
4. Suspensions zilizingua nikanunua mpya. Mchina. Ila tatizo kupata OG ila ukipata nadhani fresh.
5. Ilikua chini kinoma. Na sikutaka ipandisha juu. Aisee gari ya chini ina mzuka wake.
6. Nilitendea dhambi nyingi sna humo. Kwahiyo viajali vya hapa na pale vikawa sana tu. Ingawa sijawahi pata a serious ajali ipo stable sana road.
Nimepiga sana Uber na Taxify enzi zile.
Safari ndefu ni Mwanza mara 2, Iringa mara 3, Ifakara mara 2, Lindi na Mtwara mara 1, Morogoro town iyo kila mwezi.
Sijajutia.
Kwa umbo hakuna tofauti, ila Allex ni nyepesi kuliko Run x so kwa fuel efficiency Allex iko vizuri ila kwa balance Run x iko vizuriKuna hii halafu na alex hivi tofauti yao ni nini
anhaaa asante kiongozi kwa kunielewesha maana zimenisumbua izo garKwa umbo hakuna tofauti, ila Allex ni nyepesi kuliko Run x so kwa fuel efficiency Allex iko vizuri ila kwa balance Run x iko vizuri
Maelezo yametulia sanaYenyewe man.
Tofauti pekee: AC unit ilikua ile ya buttons sio iyo ya kunyonga ivo vi dials, na Radio iliwekwa mchina ina ka screen ingawa sio issue.
Vingine hadi injini NZ-FE naona mulemule.
Challenges kubwa nilizowahi kutana nazo:
1. Ilizingua upande wa abiria mbele kupandisha kioo, yaan ukiwa kwa dereva hauwezi pandisha kioo lazima upandishie upande ule ule wa abiria.
2. Fuel pump ilikufa (bei laki 1) napo ni kwasababu nilikua natembelea taa imewaka ya wese sanaaa. So uzembe wangu.
3. Nishawahi zidisha kilometa za service. Kidogo ikapungua performance. Nikaja badirisha oil, plug, ATF, aisee ilirudi ikawa kama mpya.
4. Suspensions zilizingua nikanunua mpya. Mchina. Ila tatizo kupata OG ila ukipata nadhani fresh.
5. Ilikua chini kinoma. Na sikutaka ipandisha juu. Aisee gari ya chini ina mzuka wake.
6. Nilitendea dhambi nyingi sna humo. Kwahiyo viajali vya hapa na pale vikawa sana tu. Ingawa sijawahi pata a serious ajali ipo stable sana road.
Nimepiga sana Uber na Taxify enzi zile.
Safari ndefu ni Mwanza mara 2, Iringa mara 3, Ifakara mara 2, Lindi na Mtwara mara 1, Morogoro town iyo kila mwezi.
Sijajutia.
Tank kivipi?Una specific year?