Mafuta sio kweli aisee! Lipo very economical. Shida ni spare parts to kibongo. Isingekuwa spare ni gari zuri sana. Nikiwa UK pande za East Greenstead ndio ilikuwa gari la host wangu so nimepanda throughout my staymafuta linameza,spare zake ilala hakuna,kama mfukoni uko safi nunua tu ila kama za kuunga unga go for toyota
Jamaa ameniambia spea zake zinaingiliana na Swift... hii ni kweli?Mafuta sio kweli aisee! Lipo very economical. Shida ni spare parts to kibongo. Isingekuwa spare ni gari zuri sana. Nikiwa UK pande za East Greenstead ndio ilikuwa gari la host wangu so nimepanda throughout my stay
Sio kweli hili! Kama swift tu kashindwa kuingiliana na ndugu yake Chevrolet Cruise, itawezekanaje kwa Vauxhall? Labda uwe mzee wa kupiga modification kila siku, kitu ambachi kitaathiri ubora wa gari.Jamaa ameniambia spea zake zinaingiliana na Swift... hii ni kweli?
asante...Sio kweli hili! Kama swift tu kashindwa kuingiliana na ndugu yake Chevrolet Cruise, itawezekanaje kwa Vauxhall? Labda uwe mzee wa kupiga modification kila siku, kitu ambachi kitaathiri ubora wa gari.
Kuna jamaa yangu alikuwa na Opel ikazingua akaja akafunga engine, gearbox na control Box ya Starlet. From there halikuwa gari tena! Kuondoka lazima aondokee D2, D1 haliendi hata chembe! Fuel consuption ikawa worse.
Achana na Europea Cars kama mfuko hauko vizuri na pia kama hauna subira
Kiongozi, umenigusa hapo kwenye Chevrolet Cruze na Suzuki Swift. Kimuonekano yapo kama vile yanafanana sana, nilidhani hata spare parts zake zingeingiliana, kumbe sio. Ukizingatia yametengenezwa jointly na kampuni ya Suzuki.Sio kweli hili! Kama swift tu kashindwa kuingiliana na ndugu yake Chevrolet Cruise, itawezekanaje kwa Vauxhall? Labda uwe mzee wa kupiga modification kila siku, kitu ambachi kitaathiri ubora wa gari.
Kuna jamaa yangu alikuwa na Opel ikazingua akaja akafunga engine, gearbox na control Box ya Starlet. From there halikuwa gari tena! Kuondoka lazima aondokee D2, D1 haliendi hata chembe! Fuel consuption ikawa worse.
Achana na Europea Cars kama mfuko hauko vizuri na pia kama hauna subira
Sio kweliJamaa ameniambia spea zake zinaingiliana na Swift... hii ni kweli?
Zile nazijua, za zamani sanaaaa.Kuna jamaa wanazo mbili za kubebea maiti,zile ndefu, frankly,zinawatesa mnoo,zinachemka saana yaani kila siku garage,spea wanaagiza UK direct,sikushauri.
Mimi ni 'mtaalamu' wa gari za Euro especially UK nakwambia kifupi tu USINUNUE.Mfukoni hakujanona kiivyo...ila nitaufanyia kazi ushauri wako.