Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya VW Tiguan

Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya VW Tiguan

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,841
Reaction score
1,843
Wakuu,

Naomba taarifa kuhusu hii VW MODEL

Nini mapungufu yake ya mara kwa mara (common problems)?

Strength zake ni zipi?

1623761928747.png

VW Tiguan
 
Ushauri wetu humu , utazingatia sana maeneo unapokwenda kuitumia

Ndio maana ni vyema ukaweza taarifa iliyojitosheleza.
 
Gari yenye heshima mtaani na barabaran pia alafu IPO juu kama ilivyo harrier na Subaru,kuhusu speed hapo ndipo Nyumbani kwake ukiwa njiani hamna cha Subaru,mark X wala brevis hawa wote ni wachumba Tu mbele ya mjerumani...
nimeshudia jpili hii kutoka Vingunguti kuitafuta mtava hakika wazungu ni habari nyingine Kwenye speed maana jamaa alikuwa anatupiga Tu overtaking
 
Back
Top Bottom