Naomba kujuzwa kuhusu haya mafuta (Olive)

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
2,181
Reaction score
2,250
Et jaman haya mafuta napaka wakat gan imean wakat wa kuosha au napakaa kama mafuta ya kawaida ya nywele nmeambiwa yanasaidia nywele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina natural hairs....nikiosha napaka kwenye ngozi..kabla sijasuka. Yamenisaidia kupunguza kuwashwa na mba.
 
Mimi nina natural hairs....nikiosha napaka kwenye ngozi..kabla sijasuka. Yamenisaidia kupunguza kuwashwa na mba.
ni haya haya ya kawaida? mi hua yananiwasha sana au ni fake ninayotumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…