Naomba kujuzwa kuhusu Honda fit

Naomba kujuzwa kuhusu Honda fit

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
466
Reaction score
273
Habari wadau,sina uzoefu kabisa wa Magari ila kuna hii gari inaitwa Honda fit naziona sana zinauzwa bei rahisi kiasi kwamba naona kabisa naweza nikaimudu kununua.Naomba kuuliza wazoefu kuhusu hii gari hasa upande wa mafuta na upatikanaji wa Spare parts zake kwa matumizi ya kuendea na kurudi kazini jumla ni kama kilomita 20 kwenda na kurudi.Asanteni sana.
 
1704137720198.png

Achana na Honda hiyo, kula chuma hicho. Lita moja wese kilomita 70. full ac ya Mungu maana vioo havifungi, Spare mpaka buku jero unapata na kitakufaa pia kukufunza ufundi. Ni muafaka kwa kuanzia maisha.

Naongea na tajiri, simu moja tu unaiona gari. Mwenyewe anataka laki 8, andaa box 2 za wazee.
 
View attachment 2859613

Noma sana.
 
Kuna posts nyingi tu zilizopita kuhusu Honda Fit. Zitafute humu humu kwenye hii forum.
 
View attachment 2859613
Achana na Honda hiyo, kula chuma hicho. Lita moja wese kilomita 70. full ac ya Mungu maana vioo havifungi, Spare mpaka buku jero unapata na kitakufaa pia kukufunza ufundi. Ni muafaka kwa kuanzia maisha.

Naongea na tajiri, simu moja tu unaiona gari. Mwenyewe anataka laki 8, andaa box 2 za wazee.
Aisee🤣

Sijui kwa nini nimecheka😀
 
Back
Top Bottom