UndercoverTrader255
Member
- Jul 8, 2021
- 88
- 167
Ulezi unalimwa kama ngano, mkuu kama una mechanisation unapiga kitu inaitwa harrrow hii ni kulainisha udongo baada ya kulima na hapo baadae sasa unaotesha kwa planter, sema kama huna inabidi upitishe tekitana mara hata tatu nne shambani ili lilainike na baadae ndio uoteshe na una aotesha juu ya udongo kama ngano, Ulize punje zake ndi ndogo sana so zinaoteshwa juu ya udongo na unaweza pita na matawi ya mkti ukawa sasa unazifukia.Habari wana JF,
Napenda kujua zaidi kwa wakulima wanaofahamu kilimo cha ulezi namna ya kuandaa shamba, upandaji wake pia mavuno wastani kwa heka moja ni kiasi gani.
NB: Wanaojua tu au aliewahi kushuhudia kilimo cha ulezi na mavuno yake.
Hio number moja sijawahi kutana nayo,Ulez unalimwa Kwa style 2
Upandikizaji
Umwagaji tu sambani
1: Upandikizaji
Ulezi unaota vzur na kustaw kwenye shamba jipya Kwa kule kwetu tunaotesha ulez kwenye majivu ambayo Miti iliungua pindi shamba linaandaliwa
Ukishaotesha hapo baada ya muda unang'oa na kwenda kupandikiza ktk matuta yako na baada ya hapo hatua zingine zitaendelea
2: kumwaga
Ukishaandaa shamba lako chukua mbegu mwaga tu zikiota hatua zingine hufuata had kuvuna
Kokote kule inako stawi zao kama mtama au uwele basi ulezi unafanya vizuri sana, hautaki mvua nyingi,Ulezi unalimwa maeneo gani hasa hapa nchini.?
#MaendeleoHayanaChama