Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vyuo vyote vya private au Bugando tu??Inategemea umesoma shule gani advance na olevel na mkopo wa asilimia 100 Bugando haimaniishi unalipiwa kila kitu kuna percent unaongeza
Hongera kwanza kwa kuchaguliwa kusoma MD! Karibu tusongeshe gurudumu la kujiandaa kutibu watuSamahani mtoa mada nidandie uzi wako, mimi nimepata MD hapo hapo Bugando hivi mkopo napata 100% au wanatoa kiasi gani wakuu kama kuna mwenye taarifa anisaidie tafadhali. Barikiweni wana wa Mungu!
Nadhan reply ya jamaa aliepata MD inakuhusu piaJe, unaweza kusoma nursing bugando ukipata mkopo asilimia mia moja, na ukamdu ukiwa hauna kipato chochote ukizingatia kwamba Bugando ni private?
Naomba msaada wakuu
Je, unaweza kusoma nursing bugando ukipata mkopo asilimia mia moja, na ukamdu ukiwa hauna kipato chochote ukizingatia kwamba Bugando ni private?
Naomba msaada wakuu
Concern Yako ingekua nyepesi kama ungekua umepata st John's universityJe, unaweza kusoma nursing bugando ukipata mkopo asilimia mia moja, na ukamdu ukiwa hauna kipato chochote ukizingatia kwamba Bugando ni private?
Naomba msaada wakuu
Na vp pale st.john nsi mtu kama wa 1.9 awezi chukuliwa nursingConcern Yako ingekua nyepesi kama ungekua umepata st John's university
Pale ada Yao ni around 2.8M ambayo moja kwa moja helsb angekulipia
Nashukuru sana kwa ufafanuzi mkuu. UbarikiweHongera kwanza kwa kuchaguliwa kusoma MD! Karibu tusongeshe gurudumu la kujiandaa kutibu watu
Tukirud kwenye concern Yako, ada ya MD kwa Bugando ni around 6M+ (na ni sawa kwa course zote, uwe umechaguliwa MD, nursing, radiology au medical lab).
Heslb wakikupa 100% ni sawa na 3.1M kwahyo nyingine utaongezea mwenyewe
Conditions na priority za kupata mkopo itategemea na mwaka wenyewe sasa.
Kiufupi tu, mzazi ajiandae
Kusoma private sio kazi rahisi kama unatokea familia ya kuunga unga.
Mambo ya admission hutegemea ufaulu wa mwaka huoNa
Na vp pale st.john nsi mtu kama wa 1.9 awezi chukuliwa nursing
Pamoja mkuu ✊Nashukuru sana kwa ufafanuzi mkuu. Ubarikiwe
Shukran sana kwa maelezo yakoMambo ya admission hutegemea ufaulu wa mwaka huo
Siwezi kuwa na majibu ya moja kwa moja kwa sababu sijajua hali ya ushindani ilivyo
Labda uombe tu halafu uone