Rukwa nadhani branch ya mufindi itakuwa karibu na wewe. Safi sana umeamua kufuatilia hizi mashine kwa undani. Usikose kutembelea maonesho yajayo ya 88 mbeya, moro au Arusha kuna mashine nyingi sana na bei zake ni za kawaida sana tofauti wengi wanavyofikiri. Ukiwa na hii mashine unaajiri mtu mmoja tu na kumpa mafuta badala ya kumlipa elfu 40 kwa acre unamlipa 10 tu, unajikuta Kama una shamba acre 30 ndani ya miezi 3 mashine imeshajinunuaNiwape mfano: utaona lazima udongo uwe tifu tifu. Ni ya kupalilia si ya kulima shamba mpya
Lonagro wanauza million karibia mbili. Za kichina laki nne. Ila Sema ukweli, huwezi kulimia shamba jipya bali kupalilia. Aidha sehemu lazima isiwe na mawe mawe. Mimi ni kapuku wa ukulimaRukwa nadhani branch ya mufindi itakuwa karibu na wewe. Safi sana umeamua kufuatilia hizi mashine kwa undani. Usikose kutembelea maonesho yajayo ya 88 mbeya, moro au Arusha kuna mashine nyingi sana na bei zake ni za kawaida sana tofauti wengi wanavyofikiri. Ukiwa na hii mashine unaajiri mtu mmoja tu na kumpa mafuta badala ya kumlipa elfu 40 kwa acre unamlipa 10 tu, unajikuta Kama una shamba acre 30 ndani ya miezi 3 mashine imeshajinunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe mawasiliano yao MkuuWatafute lonagro wapo mufindi, wanazo za kijerumani og bei 470,000 na 900,000 kubwa. Kuna za kupalilia na kufyeka majani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi mashine nilizikuta na kuuliza bei mimi mwenyewe, nilikwenda kwa wachina wao bei ni 1m fixed. Ukikutana na agent anaweza kukupa bei ya juuLonagro wanauza million karibia mbili. Za kichina laki nne. Ila Sema ukweli, huwezi kulimia shamba jipya bali kupalilia. Aidha sehemu lazima isiwe na mawe mawe. Mimi ni kapuku wa ukulima
Usiwe mbishi, nenda Autosokoni ni laki nne za Kichina na wala si million moja. Kama upo Dar nenda keshoMkuu hizi mashine nilizikuta na kuuliza bei mimi mwenyewe, nilikwenda kwa wachina wao bei ni 1m fixed. Ukikutana na agent anaweza kukupa bei ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi machine karibu zote zinatumia petrol, ila zipo za two strokes na za four stroke.Hilo jembe linatumia diesel kiasi gani kupalilia eka moja?
Post ya mwanzo juu nilisema wana aina mbili na bei zinafanana kubwa na ndogo, ndogo bei 470,000 na kubwa 970,000. Picha niliyopost inaonesha aina hizo 2.Usiwe mbishi, nenda Autosokoni ni laki nne za Kichina na wala si million moja. Kama upo Dar nenda kesho
Nimeipenda hii mkuu, nipe mechanism yakeKuna jembe la mkono kwa kupalilia linatumia diesel. Kwa siku unapalilia hekta moja peke yako.
Naona ni mambo ya ki-engineer zaidi..Hizi machine karibu zote zinatumia petrol, ila zipo za two strokes na za four stroke.
Za muundo wa two strokes ni bora kuliko za four ila hazina tank la oil hivyo inalazimu kuchanganya na petrol, kuepuka hilo tafuta ya four
strokes
Wadau naomba kupata uzoefu wenu katika kilimo cha mahindi kwa wakulima hususan wenye hekal chahe,
Hivi kwa hali ya kawaida hekali moja inatakiwa kutoa gunia ngap za mahindi.
Coz mwaka juzi niliwahi kusimamia shamba la ndg angu, ambaye alilima hekali 4, kwa mbegu zile ''seedco" +mbolea ya samadi, lakin mwisho wa siku 2kapata gunia 16 hiv kamil na debe chache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifuata kanuni bora za kilimo cha mahindi na mvua zikanyesha bila kusuasua wala kuzidi unatakiwa kupata kiwango cha chini gunia 20 za kg 100 na makimum ni mpaka gunia 52 za kg 100 kwa shamba la heka moja yenye 4900²m
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo hapa hapa mbegu ni dk, code namba yake nimesahau kodogo ila ni ile ya ukanda wa mvua nyingi
Mbona ipo siku nyingi?,Tena waweza vunia hata mpunga kuliko kuinamisha mgongo kutwa nzimaDuh safi sana sijawahi ona wala kuckia hii kabla hata kwene comment yako nilizani ni utani tu
Vipi inaweza kutumia wastani wa lita ngapi za mafuta kwa kila ekari moja?Rukwa nadhani branch ya mufindi itakuwa karibu na wewe. Safi sana umeamua kufuatilia hizi mashine kwa undani. Usikose kutembelea maonesho yajayo ya 88 mbeya, moro au Arusha kuna mashine nyingi sana na bei zake ni za kawaida sana tofauti wengi wanavyofikiri. Ukiwa na hii mashine unaajiri mtu mmoja tu na kumpa mafuta badala ya kumlipa elfu 40 kwa acre unamlipa 10 tu, unajikuta Kama una shamba acre 30 ndani ya miezi 3 mashine imeshajinunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea aina ya majani, lita 5 inapiga kazi asubuhi mpaka jua linazama na huwenda yakabaki ya kukufikisha kesho mchanaVipi inaweza kutumia wastani wa lita ngapi za mafuta kwa kila ekari moja?
Ambapo kwa siku inaweza kupiga kazi ekari ngapi kwenye eneo lenye majani ya kawaida?Inategemea aina ya majani, lita 5 inapiga kazi asubuhi mpaka jua linazama na huwenda yakabaki ya kukufikisha kesho mchana
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemeana na thickness ya vegetation, kwa thick brush yenye vimiti miti unaweza piga zisizidi mbili ila kama ni majani mepesi has yale mabichi ukiweka zako 2T blade unapiga hata heka 5. At least kwa uzoefu wangu, ila wanashauri usitumie mda mrefu, hasa hizo za kuvaa mgongoni, taratibu zinakuletea shida ya mgongo.Ambapo kwa siku inaweza kupiga kazi ekari ngapi kwenye eneo lenye majani ya kawaida?