Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Katika yard ambazo hawachezei speedometer basi ile ndo ya kwanza, magari yao kukuta yana km chini ya 80,000 n machache na bei inakuwa imenyooka. Mengi yao km zinaanzia laki na kuendelea unakuta gari zina km hadi 200,000+ wanauza kama ilivyo.
Naomba kuuliza, gari la Japan likiwa na kilomita kuanzia ngapi ndilo linakuwa limechoka?Katika yard ambazo hawachezei speedometer basi ile ndo ya kwanza, magari yao kukuta yana km chini ya 80,000 n machache na bei inakuwa imenyooka. Mengi yao km zinaanzia laki na kuendelea unakuta gari zina km hadi 200,000+ wanauza kama ilivyo.
Kuchoka kwa gari kunategemea na matunzo ya mmiliki wa gari.Naomba kuuliza, gari la Japan likiwa na kilomita kuanzia ngapi ndilo linakuwa limechoka?