Patflax jr
Member
- Apr 11, 2011
- 72
- 1
Wanajamvi naombeni msaada. Naona majina mengi yaliotolewa na hivi Vyuo ambavyo tayar vimeshatangaza majina ya waliochaguliwa, wengi ni Form Six freshers au mie nimeona vibaya?? Sasa swali ninalotaka kusaidiwa ni kuna ambae ni Inservice alieomba kupitia Equivalents/diploma ambae ameona jina lake??? Msaaada wakuu maana hapa mambo hayaendi wala hayarudi