Patflax jr
Member
- Apr 11, 2011
- 72
- 1
dah! Wadau mie nimewaelewa ila ukiangalia udsm wengi wao ni wale waliomaliza Form Four 2011 means f6 ni 2014 ambao ndo takriban 99% na hao wengine utakuta wamemaliza f4 kwenye 2010 au 2009 ambapo kwenye O-level result zao kuna seats zaid ya moja nikiwa na maana kuwa wemerisiti mitihani na kama ni inservice bas walau wangekuwa wamemaliza F4 kwenye miaka ya 2007 kurud nyuma ili walau tuwe na ile miaka kadhaa ya kusomea taaluma.
Hapa ndo nachanganyikiwa nahisi kwa UDSM hakuna inservice

Dah kaka Ud wamechukua dip ya education mmoja tu mwenye gpa 4.4 so si wenye 3.5 hadi 3.0 chuo chetu ni UDom. For sure Ud wana ubaguzi
Sio ubaguzi wacha waliofaulu vizuri wapate vyuo vizuri.........
Na wewe utapata mahali panapo kufaa......mbna bs in textile wamepata udsm kwa 4.
mkuu hakuna ishu ya chuo kizuri wala chuo kibaya. ishu hapa ni kwa nini wengine watuache kama sio ubaguzi? kwanini wachukue mtu mmoja tu? ina maana tunao apply kwa diploma hatukusoma zaidi ya hawa form 6 wa BRN ambao hata mitihani yao tumesahisha na kushuhudia madudu yao?!
Hivi unajua diploma ya ualimu ina masomo mangapi? unajua mwenye gpa 3.5 amefaulu kwa kiwango gani?
Udom tutapata na tutakwenda ila ukweli unabaki pale pale ud ni wabaguzi.

Wewe acha majungu kwani nani aliyekwambia ufeli Form6 kwenye miaka yenu? Acha vijana wabichi fresh from school wakale maziwa na asali ya UDSM wewe apply TEKU na Amazon college ndio mahali pako.
Ndugu mwalimu ulienda marking ya mitihani ya form six?
And now umeapply kwenda kusoma degree
Mkuu wewe utakua chizi, so kwa akili yako kila mwenye diploma alifeli form 6?!
elewa wengine tulikuja huku baada kwenda chuo halafu bodi kuzingua boom so hatukupoteza muda tukakamata fursa ila sio kwamba tulifeli form 6 panua akili kijana.
Sasa tatizo mkuu una hoja nzuri lakini wewe umeiwasilisha kimajungu zaidi thus why nikakujibu kimajungu all in all amani mkuu.