Naomba kujuzwa kuhusu mapenzi

kuna mambo ya kuvumilia ila mambo mengne ni ya kimakusudi. Ila Mi bado sijahamia airtel saweboy.
 


asante nitajaribu pamoja na kusema nataka sana lakini nashindwa.
 


hapo pekundu sio rahisi nampenda sana lakini sina raha ananiumiza kila siku.
 
MAZOEA TUU.


Learn to Manage and master your Subconscious Mind
 
Ulichukua time mpaka kumpenda basi jua kuwa itachukua time mpaka kumsahau, najua utapitia muda mgumu sana wa mapinduzi ya mazoea, ila inawezekana,kama unaona huna furaha na unaamua kuwa unataka kumpiga chini, Go Ahead.
 
asante nitajaribu pamoja na kusema nataka sana lakini nashindwa.
my dia kila kitu kinaanzia moyoni,unampenda sana kutoka moyoni lakini pia unaeza kuuacha kama uliwwza kumpenda na kumuacha utaweza,eka nia moyoni jitie nguvu katika utekelezaji kila kitu kinawezekana ukiamua,amua kusonga mbele amua kuacha ayo mahusiano ya mateso na huzuni,amua sasa kabla mda ukiwepo na Mungu atakusaidia.
 
Ni ulimbukeni wa kupenda...huwezi ng'an'ania kumpenda mahala hutakiwi...huo ni ugojwa itakua sio uzima kabisa..
 
Mwili wa binadamu umeumbwa na viungo viwili viwili , mfano macho mawili , mikoni miwili miguu miwili , pua mbili, nk

Sasa vile viungo vilivyokosa mwenza ndio vinachochea hali ya upendo kwamba kiungo kinahitaji mwenzake, mfano moyo ni mmoja hivyo unahitaji mwenzake, ukuni au ku...ma nayo ni moja inahitaji mb...o kama partner wake, mwili mmoja unahitaji mwili mwingine nk
 
Kwa nini tunapenda? unaona kabisa mtu hakufai lakini unashindwa kumuachia.
Ktk mapenzi kama WIVU ungekuwa haupo basi hakuna ambaye ANGEUMIA...au hakuna ambaye angemng'ang'ania MPENZI asiyempenda....tatizo ni WIVU tu ndy unaoumiza....kuona kwamba nikimuacha RAHA HIZI atapewa fulani...ndy unakuta DUME linapewa SIFA ZOTE mara KIBAMIA,,,mara DUME SURUALI lakini yumo tu haachi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…