Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 367
Wadau nilikuwa naomba kufahamishwa hizi gari aina Mitsubishi kuhusu upatikanaji wa spare, gharama zake generally . Nimetokea kuzipenda Mitsubishi RVR na Outlander.
Sasa isije kuwa ndio kama Mazda au Nissan. Maoni please.
Sasa isije kuwa ndio kama Mazda au Nissan. Maoni please.