Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 367
Thanks mkuu.Mkuu Dunia ya sasa ni Kijiji, Spea hata za VITZ tunaagiza Dubai, Nairobi, China, Singapore nk. So usiache kununua gari ya Ndoto yako kisa Spea zake hazipatikani Mtaa wa Lumumba. Think and Act Beyond that. Hongera kuifikiria Outlander gari ya kibabe sana
Umenipa nguvu Mkuu, nimeagiza hii mashine Outlander naisubiri iingie wiki ijayoMkuu Dunia ya sasa ni Kijiji, Spea hata za VITZ tunaagiza Dubai, Nairobi, China, Singapore nk. So usiache kununua gari ya Ndoto yako kisa Spea zake hazipatikani Mtaa wa Lumumba. Think and Act Beyond that. Hongera kuifikiria Outlander gari ya kibabe sana
Anza kujifunza kuwa na nidhamu ya Speed Mkuu maaana hiyo mashine inachomoka si haba. Hongera sanaUmenipa nguvu Mkuu, nimeagiza hii mashine Outlander naisubiri iingie wiki ijayo
Shukurani MkuuAnza kujifunza kuwa na nidhamu ya Speed Mkuu maaana hiyo mashine inachomoka si haba. Hongera sana
Picha kidogo ya hiyo autrende wengine tuko mabondeni huku hatuzijui..
Ikoje mkuu, natamani nami kuvuta hiki kituNilipata
Ikoje mkuu, natamani nami kuvuta hiki kituNilipata
RVR hapana sio imara hasa kwenye mashine SIKUSHAURIWadau nilikuwa naomba kufahamishwa hizi gari aina Mitsubishi kuhusu upatikanaji wa spare, gharama zake generally . Nimetokea kuzipenda Mitsubishi RVR na Outlander.
Sasa isije kuwa ndio kama Mazda au Nissan. Maoni please.
Ahsanteee mkuuRVR hapana sio imara hasa kwenye mashine SIKUSHAURI
Ni cc ngap uliyonayoWese wastani 15kms/1ltr