Naomba kujuzwa kuhusu Shazam application

Naomba kujuzwa kuhusu Shazam application

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Yaani kwa kifupi kichwa kinaniuma hapa

Kuhusu hii app..inafanyaje kazi

Inakuaje mpaka nyimbo karibia nusu ya zote..zinajulikana katika hii app.

Je, ni msanii anaweka?

Je, ni bloggers

Au

Ni hatua gani zinatumika wimbo upatikane kwenye hii app

Msaada please.
 
Huwa nadhani inaangalia structure ya zile spectrum za wimbo halafu inalinganisha na spectrum za nyimbo zingine mtandani ikiwemo youtube, vevo n.k. Ingawa kuna wakati inaweza kukosea na kuleta tokeo la nyimbo tofauti , ila ni mara chache.

"The Shazam algorithm distills samples of a song into fingerprints, and matches these fingerprints against fingerprints from known songs, taking into account their timing relative to each other within a song."

Huwa hata google assistant inaweza kutafuta nyimbo.
Screenshot_20210313-060801.png
Screenshot_20210313-060748.png
Screenshot_20210313-060222.png
 
Kila kitu kina signature hata nyimbo zina digital signature, so shazam inacompare inachosikia na kile kilichopo kwenye database
Kilichomo kwenye database gani, server ya Shazam? Hiyo database inakua updated namna gani.

Mfano mimi ni msanii was bongofleva nimeachia wimbo wangu mpya leo. Elezea unaingiaje kwenye database yao, algorithm gani inatumika
 
Pandishia uo wimbo youtube uone kitakacho tokea. Hii ni kusema kwamba Youtube ni moja ya washirika wakubwa wa Shazam wapo wengi ikiwemo Google.
 
Kilichomo kwenye database gani, server ya Shazam? Hiyo database inakua updated namna gani.

Mfano mimi ni msanii was bongofleva nimeachia wimbo wangu mpya leo. Elezea unaingiaje kwenye database yao, algorithm gani inatumika
Shazam itakuwa ina craw the web hivyo wimbo wako ukiupandisha kwenye platofrms ikiwa ina craw itakumbana nao tu na kuchukua prints zake na kuzihifadh
 
Huwa nadhani inaangalia structure ya zile spectrum za wimbo halafu inalinganisha na spectrum za nyimbo zingine mtandani ikiwemo youtube, vevo n.k. Ingawa kuna wakati inaweza kukosea na kuleta tokeo la nyimbo tofauti , ila ni mara chache.

"The Shazam algorithm distills samples of a song into fingerprints, and matches these fingerprints against fingerprints from known songs, taking into account their timing relative to each other within a song."

Huwa hata google assistant inaweza kutafuta nyimbo.
View attachment 1724054View attachment 1724055View attachment 1724056

Hata siri anafanya hiyo kazi iko kama built in
 
Shazam iko chini ya Apple baada ya kuinunua kwa $400M kutoka kwa Philip na washkaji zake walioanzisha Shazam

So na tunajua Apple Music ndio inaongoza kwa kuwa na database kubwa ya nyimbo zaidi ya 60M songs

Wamewazidi Spotify, Pandora, Amazon Music, Gaana, Angami na Boomplay

Sasa basi unaweza ona ni jinsi gani Shazam wanaweza integrate na database ya Apple Music

Ukitoa nyimbo ukaipandisha kwenye digital platforms kama Apple Music na wenzake ni rahisi kuikuta kwenye shazam

Lakini kama nyimbo haijapandishwa kwenye hizo platforms huwezi ikuta Shazam, usitegemee mwimbo wa Ugali wa Masanja utaikuta Shazam
 
Ninahisi nyimbo wanachulua nyimbo zote zilizopo You tube
 
Mtu akishazam. Kama wimbo haufahamiki na wao wanasema namna watafanya.

Huenda wenyewe huwa wanatafuta kwa njia nyingine then wanauweka kwa server zao.
Wanautafutaje mkuu..au ndio wanapita mitaani kuulizia watu
 
Yaani kwa kifupi kichwa kinaniuma hapa

Kuhusu hii app..inafanyaje kazi

Inakuaje mpaka nyimbo karibia nusu ya zote..zinajulikana katika hii app.

Je, ni msanii anaweka?

Je, ni bloggers

Au

Ni hatua gani zinatumika wimbo upatikane kwenye hii app

Msaada please.
Ukitaka kuifungua shazam kwanza kama unahitaji kuujua wimbo ht kama kipande cha nyimbo kimepiga kati kidgo tu fungua shazam then washa kile kipande cha nyimbo itakuletea msanii aliyeimba nyimbo hiyo, na unaweza kudownlaod
 
Yaani kwa kifupi kichwa kinaniuma hapa

Kuhusu hii app..inafanyaje kazi

Inakuaje mpaka nyimbo karibia nusu ya zote..zinajulikana katika hii app.

Je, ni msanii anaweka?

Je, ni bloggers

Au

Ni hatua gani zinatumika wimbo upatikane kwenye hii app

Msaada please.
Hizo ni data unalipia kuzi access ama bure, ni kama app za hali ya hewa, livescore etc.

Kitaalamu wanaita ACR (automatic content recognition)
ACR ya music inaweza toka
-spotify
-Google music
-itunes
-deezee
-yandex music
-vk etc.

So wewe unatengeneza app then unaunganisha na api zao ama unalipia kwao etc.
 
Asante mkuu.na vp kuhusu nyimbo kutokuwepo au kuwepo humo.
 
Back
Top Bottom