Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Kilichomo kwenye database gani, server ya Shazam? Hiyo database inakua updated namna gani.Kila kitu kina signature hata nyimbo zina digital signature, so shazam inacompare inachosikia na kile kilichopo kwenye database
Pandishia uo wimbo youtube uone kitakacho tokea. Hii ni kusema kwamba Youtube ni moja ya washirika wakubwa wa Shazam wapo wengi ikiwemo Google.Kilichomo kwenye database gani, server ya Shazam? Hiyo database inakua updated namna gani.
Mfano mimi ni msanii was bongofleva nimeachia wimbo wangu mpya leo. Elezea unaingiaje kwenye database yao, algorithm gani inatumika
Shazam itakuwa ina craw the web hivyo wimbo wako ukiupandisha kwenye platofrms ikiwa ina craw itakumbana nao tu na kuchukua prints zake na kuzihifadhKilichomo kwenye database gani, server ya Shazam? Hiyo database inakua updated namna gani.
Mfano mimi ni msanii was bongofleva nimeachia wimbo wangu mpya leo. Elezea unaingiaje kwenye database yao, algorithm gani inatumika
Huwa nadhani inaangalia structure ya zile spectrum za wimbo halafu inalinganisha na spectrum za nyimbo zingine mtandani ikiwemo youtube, vevo n.k. Ingawa kuna wakati inaweza kukosea na kuleta tokeo la nyimbo tofauti , ila ni mara chache.
"The Shazam algorithm distills samples of a song into fingerprints, and matches these fingerprints against fingerprints from known songs, taking into account their timing relative to each other within a song."
Huwa hata google assistant inaweza kutafuta nyimbo.
View attachment 1724054View attachment 1724055View attachment 1724056
Sio zote ndugu,nimewahi kusearch nyimbo kwa shazam nikaikosa,nikaenda yutyubu nikaipata juu tuNinahisi nyimbo wanachulua nyimbo zote zilizopo You tube
Wanautafutaje mkuu..au ndio wanapita mitaani kuulizia watuMtu akishazam. Kama wimbo haufahamiki na wao wanasema namna watafanya.
Huenda wenyewe huwa wanatafuta kwa njia nyingine then wanauweka kwa server zao.
Labda google [emoji23][emoji52]Wanautafutaje mkuu..au ndio wanapita mitaani kuulizia watu
Ukitaka kuifungua shazam kwanza kama unahitaji kuujua wimbo ht kama kipande cha nyimbo kimepiga kati kidgo tu fungua shazam then washa kile kipande cha nyimbo itakuletea msanii aliyeimba nyimbo hiyo, na unaweza kudownlaodYaani kwa kifupi kichwa kinaniuma hapa
Kuhusu hii app..inafanyaje kazi
Inakuaje mpaka nyimbo karibia nusu ya zote..zinajulikana katika hii app.
Je, ni msanii anaweka?
Je, ni bloggers
Au
Ni hatua gani zinatumika wimbo upatikane kwenye hii app
Msaada please.
Hizo ni data unalipia kuzi access ama bure, ni kama app za hali ya hewa, livescore etc.Yaani kwa kifupi kichwa kinaniuma hapa
Kuhusu hii app..inafanyaje kazi
Inakuaje mpaka nyimbo karibia nusu ya zote..zinajulikana katika hii app.
Je, ni msanii anaweka?
Je, ni bloggers
Au
Ni hatua gani zinatumika wimbo upatikane kwenye hii app
Msaada please.
Asante mkuu.na vp kuhusu nyimbo kutokuwepo au kuwepo humo.Hizo ni data unalipia kuzi access ama bure, ni kama app za hali ya hewa, livescore etc.
Kitaalamu wanaita ACR (automatic content recognition)
ACR ya music inaweza toka
-spotify
-Google music
-itunes
-deezee
-yandex music
-vk etc.
So wewe unatengeneza app then unaunganisha na api zao ama unalipia kwao etc.