Naomba kujuzwa kuhusu Shellfish na mapishi yake

Majoajosh

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
276
Reaction score
186
Wakuu naomba kujua shellfish ni Aina ipi ya samaki?

Na je mapishi yake yakoje?

Asante sana
 
Ni hao kama kobe wana gamba gumu bila mnofu ya kutosha, lobster, crab, musslor ni jamii hiyo.

Hapo kuna changu, vibua,tuna kambale,tilapia,Sangara,barakuda ukienda Feri ndo balaa utakuta kila kitu.

Hayo mashellfish ya nini?

Na sumu wanazo nyingi tu usipowaosha vizuri.

Bei yao imesimama haswa

Asante boss,kumbe Wana sumu Tena!! Sijawahi jua
 
Nyingi sana , kuna utumbo kama nyongo mle ndani usipotoa hiyo siku 2 kwaheri..
Supu mchemsho poa usafi tu uwepo haswa recipe naweza kukupa hapa kiroho safi
 
Asante boss,naomba hizo recipe
 
Back
Top Bottom