Naomba kujuzwa kuhusu Suzuki Swift Sport ya mwaka 2006/07

Naomba kujuzwa kuhusu Suzuki Swift Sport ya mwaka 2006/07

G777

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2020
Posts
227
Reaction score
604
Habari!naomba kujua Uzuri wa Suzuki swift sport yenye engine ya M16 with manul Gearbox pia Mazaifu yake.

Ahsanteni nawasilisha.

1621492041248.png

Suzuki Swift sport

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeendesha Automatic so MT nisiwe muongo siijui.

Ila Sport zina suspension ngumu kinoma kwenye rough road hauinjoi.
 
Back
Top Bottom