Naomba kujuzwa kuhusu 'System ya Diagnosis'

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,092
Wakuu nlikuwa naomba kujuzwa huu mfumo wakutumia Comp kutatulia matatizo ya Magari yetu haya ya Kijapan.

Je, wapi naweza pata training fupi nzuri na safi na pia kuingia mtaani kusaka ugali?

Na pia maitajio yapi uwe nayo mwanafunzi kuanzia kichwan mwako na vifaa muda?

Na utunnduu huweza chukua muda gani kwa mtu mshap?
 
Veta hawafundishi dignosis machine reading wanaofundisha ni N. I. T na D. I. T au tafuta gerenji nzuri lipa ufundishwe kwa miez kadhaa kama mitatu unaaanza kusaka ugali
Nashukuru Sanaa kakaaa.

Maana ki program kimoja na kidogo hiki mtu anataka kiwe na mlolongo mrefu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…