UzuriHongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa.
Naomba mwenye uzoefu na mwenye kuifahamu gari aina ya Toyota ISIS anisaidie kufahamu uzuri wake na ubaya wake pia.
Binafsi naipenda kwa muonekano wake wa nje na idadi ya siti zake, mengine niko gizani.
Msaada tafadhari ili niweze kufanya uamuzi sahihi.
Natanguliza shukrani
Umekariri weweToyota IST
Siwezi kukubishia ikiwa mawazo yako yametaka iwe hivyo,ila naongea kutokana na kile ninachokijua kwa uhaba wangu.ShukranUmekariri wewe
Asante kwa kutujuza kuwa Mokoyo na moddybrown ni mtu mmoja.Siwezi kukubishia ikiwa mawazo yako yametaka iwe hivyo,ila naongea kutokana na kile ninachokijua kwa uhaba wangu.Shukran
Shukran sana,kama unatafakur nzuri nadhani utakuwa unajipa majibu sahihi.
Uzuri
-Ni brand ya Toyota hivyo spare zinapatikana maana injini yake ipo kwenye magari mengine ya Toyota
-Ina cc ndogo ukilinganisha na idadi ya watu inaowabeba
-Nyingi zina vvti engine so ulaji wa mafuta ni wa kawaida
-Ni gharama rahisi kuifanyia service
Ubaya
Kuna zenye vvti-d4. engine hizi ni nzuri tu ila mafundi wa kibongo wengi hawana uelewa wa kutosha wa engine hizi hivyo zikipata shida utasumbuka kuitatua. Vilevile kuna utafiti unadai kuwa zina excessive burning ya engine oil ingawa Toyota wamekuwa wakijitetea kwenye hili.
ISIS zina ground clearance ndogo hivyo ikiwa imebeba uzito mkubwa inagusa sana chini labda uweke tyre zenye profile kubwa na labda uweke specer.
Kuna zenye bumper ambalo limeongezwa hili huchakaa mapema na kuharibu shoo ya gari hasa mbele hivyo nunua ambayo haina hilo bumper lililoongezwa.
Siti zake za row ya tatu zimejibana sana.
Hitimisho
Hayo machache ndiyo niyajuayo so linganisha mabaya na mazuri kulingana na mahitaji yako then utaamua!!
Hutumika na makamanda wa IsisHongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa.
Naomba mwenye uzoefu na mwenye kuifahamu gari aina ya Toyota ISIS anisaidie kufahamu uzuri wake na ubaya wake pia.
Binafsi naipenda kwa muonekano wake wa nje na idadi ya siti zake, mengine niko gizani.
Msaada tafadhari ili niweze kufanya uamuzi sahihi.
Natanguliza shukrani
Isis gari zuri sana, analo ndugu yangu wa karibu so huwa naliendesha mara kwa mara. Lina nafasi sana ndani kwa matumizi ya familia na lina mvuto wa body kwa nje. Muhimu ni utunzaji tu na kuzingatia service linadumu.
Ulaji wa mafuta ni perfect unapiga misele ya kutosha with ratio ya 10-12km per litre ukipata lenye vvt-i. Engine zake ni kati ya 1800-2000cc.
Pia kama utahitaji kwa sasa tunaliuza, liko njema sana model ya 2005 namba D!
Lyagwa
Poa poa,Ahsante ndg kwa offer yako.