MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
Naongezea aweke na mtindi kidogo aweke kwa friji mda mrefu sana aive na viungo.Naona viungo ni vile vile kama wa kukaanga tu japo sijawah choma kuku mueke kitunguu swaum kimenye kitwange tangawizi isagie chumvi kiasi limao au ndimu.
Mengine watajibu wengine
Bas me hua naongezea na pilipili manga ya unga na napenra zaidi kuku wa kukaanga kuliko wa kuchoma hio ya mtindi ndio najifunza leo sasa ukitaka mpika ladha ya mtindi husikii??? sipendi maziwa ya mtindi ingenishinda hioNaongezea aweke na mtindi kidogo aweke kwa friji mda mrefu sana aive na viungo.
Japo mimi kuku napenda awe na ndimu au limao na vitunguu swaum chumvi basi.
Nienjoy ile taste asilia.
Haisikiki mami.bas me hua naongezea na pilipili manga ya unga na napenra zaidi kuku wa kukaanga kuliko wa kuchoma hio ya mtindi ndio najifunza leo sasa ukitaka mpika ladha ya mtindi husikii??? sipendi maziwa ya mtindi ingenishinda hio
nitajaribu siku moja ila sjui kama nitamla kuna siku nilialikwa hafla flani nikawa upande wa jikoni nikasema leo ngoja nione ujuzi wa wengine jikoni kukapikwa biriani lile chuzilakewakaweka maziwa yamtindi ham iliniisha pale pale tena na sukari juu sikula hayoHaisikiki mami.
Yes nilisahau pilipili manga.
Huwa napenda kuku asiwe na makorogesheni kibao.
Lakini mimi awe wa kuchoma kukaanga twende tu.
Ili mradi kuku[emoji490]
Lakini biriani maziwa mtindi lazima kuleta taste na uzito.nitajaribu siku moja ila sjui kama nitamla kuna siku nilialikwa hafla flani nikawa upande wa jikoni nikasema leo ngoja nione ujuzi wa wengine jikoni kukapikwa biriani lile chuzilakewakaweka maziwa yamtindi ham iliniisha pale pale tena na sukari juu sikula hayo
Hilo nalo nenoWe kuku choma tu kawaida kama uchomavyo nyama nyingine ukitia mbwembwe sana utamuharibu kuku wetu.Nyama ya kuku ukiipika vyovyote ni tamu mradi usitie sana mikwara.
Ukitaka nyama ya kufanyia mbwembwe kakamate hata sungura huko umfanye unavyotaka.