Naomba kujuzwa kuhusu umiliki wa Dizzim TV na Dizzim TV

Naomba kujuzwa kuhusu umiliki wa Dizzim TV na Dizzim TV

size 96

Senior Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
128
Reaction score
152
Wakuu, kama uzi unavyojieleza hapo juu, napenda kujua umiliki wa DIZZIM naona kabisa kua nayo ina iwekezaji wa Diamond Platniumz ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmiliki wa Dizzim ni SALAAM SK, siyo Babu tale...

Hiki kitu kipo wazi kabisa, aliinunua kutoka kwa Mosha ilikuwa inaitwa African swahili channel...

Na mauziano haya yalikuwa wazi, sijui nyie mmetoa wapi hiyo ya kusema inamilikiwa na Tale..

Hakuna kitu kinashangaza kama mtu unajibu kitu usichokijua kwa kujiamini..

Mmililiki wa dizzim ni Babu tale

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmiliki wa Dizzim tv na online ni Babu tale.

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Mmiliki wa Dizzim ni SALAAM SK, siyo Babu tale...

Hiki kitu kipo wazi kabisa, aliinunua kutoka kwa Mosha ilikuwa inaitwa African swahili channel...

Na mauziano haya yalikuwa wazi, sijui nyie mmetoa wapi hiyo ya kusema inamilikiwa na Tale..

Hakuna kitu kinashangaza kama mtu unajibu kitu usichokijua kwa kujiamini..

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Juzi kati Apo mondi na tale walikua moro likizo ikasemekana licha ya likizo iyo walikua wanatunua wigo wa DIZZIM kusikika ndio Mana inaleta mkanganyiko kua ni ya sallam sk tale na mondi au Ni ya sallam sk pekee au Ni ya tale pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom