Asante kwa kunijuza mkuuMmiliki wa Dizzim tv na online ni Babu tale.
Ni Sallam Manyonyo na si Babu taleMmiliki wa Dizzim tv na online ni Babu tale.
samahani konda nishushe kituo kinachofata.Mmiliki wa Dizzim tv na online ni Babu tale.
Tunakushusha tabata kwa king kibasamahani konda nishushe kituo kinachofata.
wewe ni mpiga debe au konda??Tunakushusha tabata kwa king kiba
Mimi ni abdu kiba.. nimempa maelekezo kondawewe ni mpiga debe au konda??
haya nenda kapime mkaa kuna mteja anasubiri.Mimi ni abdu kiba.. nimempa maelekezo konda
Sawa Zabibu kibahaya nenda kapime mkaa kuna mteja anasubiri.
Fedrick bundala si aliondoka tena kwa kuaga kua anaenda kuendeleza cha kwake akaanzisha similizi na saiti snsFredrick Bundala wa sitasahau na yeye yumo
Ni sallam sk pekee au tale na mondi nao wanausika ??Dizim TV zamani Africa Swahili toka kwa mmliliki wa awali Davis Mosha mpk kumilikiwa na Sallam SK
MTC | 101| [emoji769]
Mmiliki wa Dizzim tv na online ni Babu tale.
Juzi kati Apo mondi na tale walikua moro likizo ikasemekana licha ya likizo iyo walikua wanatunua wigo wa DIZZIM kusikika ndio Mana inaleta mkanganyiko kua ni ya sallam sk tale na mondi au Ni ya sallam sk pekee au Ni ya tale pekeeMmiliki wa Dizzim ni SALAAM SK, siyo Babu tale...
Hiki kitu kipo wazi kabisa, aliinunua kutoka kwa Mosha ilikuwa inaitwa African swahili channel...
Na mauziano haya yalikuwa wazi, sijui nyie mmetoa wapi hiyo ya kusema inamilikiwa na Tale..
Hakuna kitu kinashangaza kama mtu unajibu kitu usichokijua kwa kujiamini..
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..