Usijiloge bora umalize hapo hapo kariakoo DSMWadau anaejua taratibu za ushuru wa bidhaa pale bandarini kama umenunua vitu zanzibar inakiwaje anijuze. Kama wanachaji kwa asilimia za bei ya bidhaa au wanakuangalia unafananaje ndio wanakuchaji.
Nataka nikafanye shopping huko naona vitu bei imekaa poa.
Ujue kuna ZRA , na TRA sasa kwa sasa ili kukwepa usumbufu kanunulie vitu Dar, sio zanzibar, maana bei utayonunua zanzibar na kodi utazopigwa afadhali ununulie Dar tu,
hoja ya msingi lakini wanasiasa wanatutumiaKama zanzibar ni Tanzania, naDar ni Tanzania.
Inakuwaje ununue vitu Ndani yaTanzania ulipie tena ushuru?
Hivi Tanzania kwanini kuna kodi mbili mbili na tofauti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960] sio sita tu!!Mbili chache zipo 6
Wadau anaejua taratibu za ushuru wa bidhaa pale bandarini kama umenunua vitu zanzibar inakiwaje anijuze. Kama wanachaji kwa asilimia za bei ya bidhaa au wanakuangalia unafananaje ndio wanakuchaji.
Nataka nikafanye shopping huko naona vitu bei imekaa poa.