faraja ya moyo
Member
- Apr 20, 2022
- 23
- 31
Msaada, ni wakati gani unaweza kupewa notice na mwenye nyumba ikiwa umechelewa kulipa kodi yake kwa mwezi mmoja? Na ni condition gani anatakiwa afuate kukupa hiyo notice? Asanteni wakuu naamini nitapata majibu sahihi hapa.