faraja ya moyo
Member
- Apr 20, 2022
- 23
- 31
Upewe notice ya nini wakati makubaliano yenu yameisha, hakuna notice tena hapo maana muda wako umeisha inatakiwa kurenew mkataba( makubaliano).Msaada, ni wakati gani unaweza kupewa notice na mwenye nyumba ikiwa umechelewa kulipa kodi yake kwa mwezi mmoja? Na ni condition gani anatakiwa afuate kukupa hiyo notice? Asanteni wakuu naamini nitapata majibu sahihi hapa.
Asante kwa ufafanuzi mzuriUpewe notice ya nini wakati makubaliano yenu yameisha, hakuna notice tena hapo maana muda wako umeisha inatakiwa kurenew mkataba( makubaliano).
Kuendelea kukaa inategemea makubaliano yako wewe na mwenye nyumba. Ila hakuna haja ya notice ili kukuondoa.
NB: Notice inatolewa ikiwa bado mkataba unaishi nasio ambapo hakuna mkataba.
Jukumu lako ni kulipa kodi tu, tena kwa wakati.Msaada, ni wakati gani unaweza kupewa notice na mwenye nyumba ikiwa umechelewa kulipa kodi yake kwa mwezi mmoja? Na ni condition gani anatakiwa afuate kukupa hiyo notice? Asanteni wakuu naamini nitapata majibu sahihi hapa.