usikumnene
Member
- Apr 23, 2017
- 81
- 108
Asante kwa taarifaSaa 4 ucku
Alisemaje mkuu!Apigwe tu huyu mdigo,, yani tangu amsemee mbovu icon wa ngumi Africa mashariki na kati Rashidi matumla(snake man) mpaka leo sina hamu nae
na ndio anashinda leo!!Siwezi kupoteza muda wangu kumuangalia Mwakinyo.
Hajui ngumi ,maneno mengi kama mtoto wa kike.
Labda ashinde njaa.na ndio anashinda leo!!
Wewe jeSiwezi kupoteza muda wangu kumuangalia Mwakinyo.
Hajui ngumi ,maneno mengi kama mtoto wa kike.
Anashinda inshallahLabda ashinde njaa.
Hamalizi raundi sita huyo.
Mbeleko ya home ground haitotokea leo maana raundi zikiisha watambeba tu.
Umehamini maneno yangu!? Haters jiueLabda ashinde njaa.
Hamalizi raundi sita huyo.
Mbeleko ya home ground haitotokea leo maana raundi zikiisha watambeba tu.