Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, Mimi sina experience sana na Vanguard, tho ni long wheel base ya Toyota rav4 2006-2012. Rav4 tulishawahi kuwa nayo 2008 nitatoa opinion from that. Plus Vanguard niliipiga round siku moja tu, so I might be biased.habari wadau naomba watu wenye kufahamu ubora wa Toyota Vanguard yenye 7 seats ambayo ni 4WD na isiyo 4WD, ipi ni bora kwenye shughuli za kila siku hapa DSM na kusafiri mikoani Arusha , Moro, Mbeya.
SHUKRANI SANA MKUU! umenisaidia sanaOkay, Mimi sina experience sana na Vanguard, tho ni long wheel base ya Toyota rav4 2006-2012. Rav4 tulishawahi kuwa nayo 2008 nitatoa opinion from that. Plus Vanguard niliipiga round siku moja tu, so I might be biased.
Rav4 yetu ilikuwa 4WD na Vanguard ilikuwa 4WD. Rav4 yenyewe hatujawahi kuipeleka kwenye real off road but it served well na barabara za Bunju during the rainy season. Nakushauri sana ununue 4WD kama huko mikoani unaenda porini. What I hear Vanguard is pretty much the same kama Rav4 but yenyewe its longer.
Mafuta... Vanguard niliendesha siku moja na mafuta niliwekewa, hata siku note. Tho Rav4 za hii generation zinakula mafuta kidogo sana kuliko zile za zamani, eg 1998. I don't think vanguard itakuwa mbali sana. Rav4 ilikuwa inapiga 1L/12km, zote zilikuwa 4 cylinder. Usinunue V6 aiseee...
Space... Vanguard wins here. Kama una familia kubwa, take Vanguard, tho viti vya nyuma waachie watoto maana mwenyewe si fit. Ukikunja third row seats unapata space kubwa kuliko Rav4(this is a no brainer[emoji12] ). What I noticed ndani everything is the same for both Rav4 and vanguard. And I can say, Toyota wamejitahidi.
Appearance ya nje... Rav4 dogo, Vanguard kubwa. Napenda grill za Vanguard more, it looks aggressive. Nyuma Rav4 limejikunja sana, Vanguard has that man look. Personally I would take the Vanguard any day.
Conclusion... Vanguard is a pretty nice car. Niliendesha siku moja but I felt like I was driving a Lexus SUV. Now yapo mengi kitaa, spare haitakuzingua. Ningekuwa na more experience nayo, ningekupa more info, acha niache wananchi walio nayo wakupe more info. 90% of this based on Rav4 2006-2012, 10% Toyota Vanguard[emoji3] .
PS: Nakukumbusha, nunua 4WD Tanzania Barabara zinazingua mikoani, plus chukua 4 cylinder. V6 is great but I don't think the power outweighs the fuel consumption[emoji15]
Apart from that, kila la kheri.
-callmeGhost
shukrani sana mkuuKwenye thread yangu hii Kwa mnaohitaji kununua magari - tukutane hapa
Katika magari niliyoyazungumzia, Vanguard ilikua ni miongoni mwao.
Labda nikudokeze tu
Toyota Vanguard ilitambulishwa rasmi mnamo mwaka 2005. Toyota Vanguard ni moja ya toleo la RAV4 ambayo ilifanikiwa sana.
Toyota Vanguard ina magurudumu yenye 2,660mm na urefu wa 100mm kuzidi Toyota RAV4.
Toyota Vanguard ina utofauti na RAV4 kwa mbele mwishoni, pamoja na bampa lake, bonnet na taa za mbele.
Engine ya RAV4 pamoja na gearbox yake, ni sawa na Toyota Vanguard.
Six hii ya petrol, inakupa kusanyiko la ukubwa wa engine yenye ujazo wa 1,998cc inayotengeneza 145bhp ( brake horse power) pamoja na 190 N-m ya torque, hadi 3,456cc V6 yenye 268bhp (brake horsepower ) 336 N-m ya torque.
Na Option Mbili za diesel 2,231CC Turbo yenye 108 bhp na 400 N-m of torque.
Toyota vanguard iko fitted na four-speed automatic , zinapatikana pamona na CVT.
Option ya manual ikijumuisha speed 5 na 6. Pia Toyota Vanguard ipo yenye front wheel drive na all wheel drive.
Toyota Vanguard imeundwa na kusheheni vifaa vya teknolojia vya hali ya juu.