Inakuwaje mtu umepata nafasi ya kwenda chuo kikuu umekidhi vigezo vyote kama muda wa kufanya kazi zaidi ya miaka 3, mwajiri anakuruhusu huku akicomment kuwa utajisomesha na kujigharamia gharama zote ikiwa ni pamoja kujisafirisha wakati wote wa likizo. Ninachojua stahiki yako kama mtumishi wa umma ni pamoja na kusomeshwa kwa kipindi unapokuwa kazini, kutibiwa kipindi cha utumishi nk naomba kusaidiwa..