Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu wa hili.

Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu wa hili.

Ulitaka nani akusomeshe kama wewe ndiye ujuwaye umuhimu wa elimu unayoitaka? kuwa mtumishi wa umma haimaanishi kuwa kila elimu utakayo umma lazima ugharamie.
 
Kwa hyo ulitaka na wewe ukabanane na vitoto kule heslb?
 
Ulitaka nani akusomeshe kama wewe ndiye ujuwaye umuhimu wa elimu unayoitaka? kuwa mtumishi wa umma haimaanishi kuwa kila elimu utakayo umma lazima ugharamie.
Ndugu yangu nilikuwa nijirishe kwani kwa kawaida halimashauri au manispaa huwa wanasomesha kwa kukulipia ada na nauli. Sasa nilitaka kujua kama iko ktk taratibu na kanuni za serkali au ni kaufisadi kengine? Kwani huwa inakuwa randamly unaweza ona wengine wanalipwa wengine hawalipwi. Ndio sababu nimeomba mwenye uelewa jambo hilo anifahamishe ilinifuatie kama ni haki yangu.
 
Back
Top Bottom