Naomba kujuzwa location ya duka la BBone electronics

Naomba kujuzwa location ya duka la BBone electronics

mambucha

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
279
Reaction score
160
Tafadhali kwa anayefaham location ya duka la BBone Electronics, nimekutana na hili jina kwenye online shopping fulani but nataka niwatembelee siku moja.
 
Kama umepata jina hilo Kaymu, itabidi uwe mpole! Hawapendi ku disclose maeneo kwani wanataka wao ndiyo wawekufanyie kazi hiyo. Huwa hawatoi address kamili ya muuzaji!
 
Yap, nilliwaomba wakanitolea nje, but nimepata location yao kwa kugoogle.
Kaka hawa watu walinisumbua sana! Nilipeleka pesa kwa ajili laptop lakini yaliyonikuta nayajua mwenyewe. Kwa aibu walinirudishia pesa zangu kwa Tigopesa, hata hivyo nikaambulia kupata pungufu baada ya makato. Kuzipata ofisi zao nayo ilikuwa kasheshe. Ofisi zao zimejificha sana na zipo maeneo ya Kwa Nyerere, Mikocheni kama ni kampuni hiyo ya Kaymu!
 
Back
Top Bottom