Kama umepata jina hilo Kaymu, itabidi uwe mpole! Hawapendi ku disclose maeneo kwani wanataka wao ndiyo wawekufanyie kazi hiyo. Huwa hawatoi address kamili ya muuzaji!
Yap, nilliwaomba wakanitolea nje, but nimepata location yao kwa kugoogle.
Kaka hawa watu walinisumbua sana! Nilipeleka pesa kwa ajili laptop lakini yaliyonikuta nayajua mwenyewe. Kwa aibu walinirudishia pesa zangu kwa Tigopesa, hata hivyo nikaambulia kupata pungufu baada ya makato. Kuzipata ofisi zao nayo ilikuwa kasheshe. Ofisi zao zimejificha sana na zipo maeneo ya Kwa Nyerere, Mikocheni kama ni kampuni hiyo ya Kaymu!Yap, nilliwaomba wakanitolea nje, but nimepata location yao kwa kugoogle.
Mkuu namba za B.Bone hizo hapo 0759313195|0787313196|0713313195